Hotline +255 768985500
Hotline +255 768985500
Equity Bank Tanzania Yaadhimisha Siku ya Wanawake Duniani kwa Kuwawezesha Wanawake.
Katika kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, Equity Bank Tanzania iliwaunganisha wanawake wateja na wafanyakazi wake katika hafla maalum ya kusherehekea pamoja. Tukio hili lilikuwa fursa muhimu ya kutafakari mchango muhimu wa wanawake katika maendeleo ya jamii na uchumi.Hafla hiyo iliwashirikisha wazungumzaji mbalimbali, wakiwemo wanawake viongozi kutoka Equity Bank na wadau mbalimbali wanaoshirikiana na benki katika kuwakuza na kuwawezesha wanawake.
Akizungumza katika tukio hilo, Bi. Shumbana Walwa, Mkuu wa Kitengo cha Masoko, alisema kaulimbiu ya mwaka huu ya Siku ya Wanawake Duniani, "Give to Gain", inalenga zaidi ya sherehe. "Inahusu kubadilishana mawazo na kujenga uwezo wa kuwezeshana kati ya wanawake wenyewe," alisema.
Kwa wake up and wake, Bi. Martha Kimweri, Mkuu wa Rasilimali Watu, alisema Equity Bank imewasajili zaidi ya wanawake 80 katika mpango wa uongozi unaofanywa kwa ushirikiano na Shirika la Fedha la Kimataifa (IFC). Mpango huu unalenga kuimarisha uongozi kwa wanawake na kuwapa fursa za kukua kitaaluma.
Bi. Zuhura Sinare Muro kutoka Impact Leadership Academy aliwakumbusha wanawake kuwa kila mwanamke ni dhahabu. Alizungumzia ushirikiano wao na Equity Bank katika kuwawezesha wanawake kwenye uongozi, akisisitiza umuhimu wa kujiamini na kuthamini thamani yao.
Bi. Hellen Dalali, Mkuu wa Uendelevu, alielezea kuhusu dirisha la Mwanamke Plus la Equity Bank. Huduma hii maalum inatoa mikopo ya biashara na makazi, elimu na mafunzo ya kifedha bure, mikopo ya ushonaji, na bima maalumu kwa wanawake, ikilenga kuwapa nguvu za kifedha na kusaidia biashara zao kukua.
Akihitimisha hafla hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa Equity Bank Tanzania, Bi. Isabela Maganga, alizungumza moja kwa moja na wanawake waliopo akisema benki imetumia siku hiyo kuwakumbusha wateja mambo matatu muhimu: kwanza, kuwaeleza kuwa Equity ni nani; pili, kutoa shukrani za dhati kwa wateja kwa kuamini na kuchagua kuwa wateja wa benki; na tatu, kutumia mwezi huu kuonesha jinsi wanavyowapa kipaumbele wateja katika kila wazo na juhudi zao.
Equity Bank Tanzania inatoa shukrani za dhati kwa wanawake viongozi wa benki pamoja na wadau wote walioshiriki kutoa elimu na kuzungumza na wanawake kuhusu namna ya kuendelea kujiwezesha na kusaidiana katika jamii na kiuchumi.
#GiveToGain #EquityBankTanzania
Equity Bank Tanzania limited imeingia ubia na Klabu ya Simba katika kutoa kadi zenye chapa zao...
View MoreEquity Bank has today kicked off the issuance of Simba Fan Cards to over 20 million fans of the...
View MoreEquity Bank Tanzania has today handed over 5 mobile police posts to the Ministry of Home Affairs...
View MoreBenki ya Equity imezindua huduma za benki kwa njia ya kimtandao, huduma hizi zilizopewa jina...
View MoreThe new tax settlement avenue will be available for all TRA clients including non- Equity Bank...
View MoreEquity Bank Group, on Thursday announced that its profit after tax for the third quarter of 2014...
View MoreRegional financial services provider Equity Bank Group has returned to its traditional growth path...
View MoreEquity Bank Group’s investment in ICT and Focus on SME boosts profits by 11 percent in the year...
View MoreEquity Bank and American Express today announced a partnership agreement, through which Equity Bank...
View MoreThe approvals, which were secured during the firm’s 11th Annual General Meeting (AGM) held today...
View MoreRegional banking group, Equity Bank's reduction of interest rates by 700 bps from 25% to 18% has...
View MoreEquity Bank Group strengthens its fundamentals while expenses of ICT, Innovation and Product Rollout...
View MoreThe Group’s total assets posted a 24% growth during the year to close at Ksh 243 billion up from...
View MorePartnership to increase financial inclusion and boost EMV migration efforts in the region.
View MoreThe new identity is aimed at creating a sustainable growth path and service delivery in today’s...
View MoreEquity becomes the 1st bank in Eastern and Central Africa to achieve this milestone paving way for...
View MoreBecomes the first bank in Eastern and Central Africa to achieve the trillion-shilling balance sheet...
View MoreThe Award is conferred annually to exceptional individuals who exemplify their outstanding `business...
View MoreThe service presents the exciting prospect for the Tanzania community to receive seamless...
View MoreEquity Bank (T) leo imenzidua rasmi akaunti maalum ya utunzani fedha kwa kujiwekea kidogo kidogo ili...
ZaidiEquity Bank (T) imeahidi kuendelea kutoa elimu ya fedha na mikopo nafuu kwa vikundi vya uwekezaji na...
ZaidiCustomers with Equity Bank accounts can now transact seamlessly in any of the Equity Bank branches...
View MoreCustomers will have the freedom to execute forex requirements in real-time in a safe, convenient and...
View MoreEquity Bank Kenya Limited has received two International Standards Certifications - ISO 20000 and...
View MoreEquity Bank Tanzania has announced the appointment of Ms. Isabel Maganga as the new Managing...
View MoreEquity’s Eastern and Central Africa Recovery and Resilience plan is envisaged to provide financing...
View MoreEquity Group has eased its defensive strategy that had been deployed during the economic uncertainty...
View MoreThe partnership will champion the implementation of the Africa Recovery and Resilience Plan which...
View MoreDelegates from the United States of America (USA) have arrived in Dar es Salaam, Tanzania for a...
View MoreEquity Group Holdings Plc today reported Kshs.34.4 billion shillings profit after tax for the nine...
View MoreEQUITY GROUP REPORTS A RECORD KES 46.1B NET PROFIT AND A DIVIDEND PAYOUT OF KES 15.1B
View MoreNairobi Monday 13th May 2024… After reporting a 5% decline in profit after tax for the year ended...
Read MoreNairobi, Kenya, 3rd September 2024: Equity Group unveiled its third annual sustainability report for...
Read MoreNAIROBI, 12th November 2024: Against a backdrop of continued macroeconomic headwinds of high...
Read MoreNAIROBI, 27th March 2025: Equity Group Holdings Plc continues to deliver solid financial results,...
Read MoreNAIROBI, 29th May 2025: Demonstrating strategic agility and resilience in a dynamic global economic...
Read MoreEquity Group Holdings Plc has announced its Q3 2025 results, showcasing a robust performance driven...
Read MoreAsset Loan to Empower Women and Youth Entrepreneurs in Tailoring and Fashion Design Sector
Read MoreMwanza, Tanzania –Tarehe 24 Januari 2026. Benki ya Equity Tanzania, kwa ushirikiano na wadau...
Read MoreBenki ya Equity yazindua “wezesha account” akaunti ya amana ya muda maalum, inayolenga...
Learn MoreTanzania, Benki ya Equity imetangaza ushirikiano wa kimkakati na Mixx by Yas wenye lengo la kuleta...
Read More