Hotline +255 768985500

Whistleblowing

Dar es Salaam, Tanzania – 11 Februari 2026.


Benki ya Equity Tanzania, imezindua rasmi “Wezesha Account” akaunti ya amana ya muda maalum inayolenga kuboresha kesho yako kwa kuanza uwekezaji leo. Akaunti hii ya maana inawalenga watu binafsi, wajasiriamali na vyama/taasisi kukuza na kulinda mitaji yao kupitia uwekezaji salama unaotoa faida 13% kwa mwaka ikiwekwa kila mwezi. Akaunti hii inahitaji uwekezaji wa angalau shilingi 500,000 kama kima cha chini kwa muda wa miaka mitatu.Aidha, akaunti hii inaweza kutumika kama dhamana ya asilimia 80 ya thamani ya amana kuweka kupata mkopo, hivyo kumwezesha mteja kupata mkopo bila kuvunja uwekezaji wake. Uzinduzi huo umefanyika leo katika hoteli ya Serena, Dar es Salaam,ikidhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta ya fedha, wateja na wawakilishi wa vyombo vya habari. Wezesha akaunti imezinduliwa leo tarehe 11 Februari 2026 na dirisha la kuwekeza litafungwa tarehe 30 Aprili 2026.


Wezesha Account ni njia bora ya kuanza kuboresha kesho yako leo ya kifedha , inayowafaa watu wote ,kwa wajasiriamali inasaidia kuboresha na kuweza kupata mapato ya ziada kupitia riba na dhamana ya mkopo ambayo itawawezesha kukuza biashara zao, kwa wafanyabiashara kukuza na kulinda mali zao kwa faida thabiti ya 13% kwa mwaka, wanawake na vijana kujenga uhuru kifedha kwa kupata faida kila mwezi na fursa ya mkopo, na taasisi/wawekezaji kutumia amana yao kama dhamana ya 80% kufungua milango ya mikopo na fursa zaidi, yote hiki kwa uwekezaji wa angalau shilingi 500,000.


Kwa mujibu wa Benki ya Equity, Wezesha Account inalenga kukusanya jumla ya TZS bilioni 200. Lengo ni kuimarisha hali ya ufadhili wa benki na kusaidia ukuaji wa mikopo, hasa kwa Wajasiriamali Wadogo na Wakubwa (MSMEs). Akizungumza kwenye uzinduzi huo, Bi.Theresia Aloyce Mayanie, Mkuu wa kitengo cha Biashara wa Benki ya Equity, alisema:“Lengo letu ni kubadilisha maisha na kukuza fursa za uwekezaji wa kifedha. Wezesha Account ni zana ya kuwahamasisha watanzania na uhuru wa kifedha na kufungua milango ya maendeleo ya kiuchumi kuwa.”


Benki ya Equity inawaalika watanzania wote,watu binafsi, wajasiriamali na, vikundi, vyama taasisi kufungua Wezesha Akaunti leo na kuanza safari ya uwekezaji wenye faida ya kila mwezi na mustakabali imara wa kifedha. Huduma hii ya kufungua akaunti ya wezesha inapatikana katika matawi yote ya Equity Benki nchini,kwa maelezo na msaada zaidi piga 0768985500 au Email: info@equitybank.co.tz. Na kwenye tovuti:www.equitybank.co.tz.


Benki ya Equity Tanzania ni benki ya biashara inayosimamiwa na Benki Kuu ya Tanzania, ikiongozwa na dhamira ya kuboresha maisha ya watanzania kwa kuwapatia huduma za kifedha zenye ubora na nafuu mijini na vijijini. Uwekezaji huu wa wezesha akaunti unatokana na nidhamu thabiti ya kifedha na usimamizi bora wa mitaji wa Benki hii. Zaidi ya hayo, uwekezaji huu unakua juu ya msingi thabiti wa imani na uaminifu uliojengwa kwa muda mrefu katika soko la kifedha,ukiwa na dhamira ya kuendelea kuwekeza na kuwawezesha weja wake.


“Wezesha Account, Kesho Bora,huanza Leo.’’



Bw.Prosper Nambaya, Mkurugenzi wa Biashara wa Benki ya Equity Tanzania akizungumza na wadau wa sekta za kifedha, wageni walikwa pamoja na waandishi wa habari kwenye uzinduzi wa Wezesha Account.

Bi.Theresia Aloyce Mayanie, Mkuu wa kitengo cha biashara za kati na ndogondogo wa Benki ya Equity Tanzania, akizungumza na wadau wa sekta za kifedha , wageni walikwa pamoja na waandishi wa habari kwenye uzinduzi wa Wezesha Account

Bi.Shumbana Walwa,Mkuu wa kitengo cha Masoko akifanya mahujiano na Clouds TV, juu ya Wezesha Account.


Wadau mbalimbali waliodhuriwa kwenye uzinduzi wa Wezesha Account.

Related stories

Equity Bank Tanzania limited imeingia ubia na Klabu ya Simba

Equity Bank Tanzania limited imeingia ubia na Klabu ya Simba katika kutoa kadi zenye chapa zao...

View More
Equity Bank Kicks Off Issuance of Simba Fan Cards

Equity Bank has today kicked off the issuance of Simba Fan Cards to over 20 million fans of the...

View More
Equity Bank Tanzania Donates 5 Mobile Police Posts to Ministry of Home Affairs in Tanzania

Equity Bank Tanzania has today handed over 5 mobile police posts to the Ministry of Home Affairs...

View More
Benki Ya Equity Tanzania Inazindua Suluhisho Jipya Ya Benki Kimtandao

Benki ya Equity imezindua huduma za benki kwa njia ya kimtandao, huduma hizi zilizopewa jina...

View More
Equity Bank and Tanzania Revenue Authority in Partnership for Payment of Taxes

The new tax settlement avenue will be available for all TRA clients including non- Equity Bank...

View More
Equity Bank Group Third Quarter Profits Soars 26% on the Back of Growing Regional Economic Activities

Equity Bank Group, on Thursday announced that its profit after tax for the third quarter of 2014...

View More
Regional Expansion and Diversification Strategy Pays Off as Equity Bank Posts a 21% Growth

Regional financial services provider Equity Bank Group has returned to its traditional growth path...

View More
Equity Bank Group’s Investment in Ict and Focus on Sme Boosts Profits by 11% in the 2013

Equity Bank Group’s investment in ICT and Focus on SME boosts profits by 11 percent in the year...

View More
Equity Bank and American Express Announce Card Issuing and Merchant Acquiring Partnership

Equity Bank and American Express today announced a partnership agreement, through which Equity Bank...

View More
Equity Group Secures Its Shareholders Nod for a Kshs 20 Billion Pan African Expansion Bid

The approvals, which were secured during the firm’s 11th Annual General Meeting (AGM) held today...

View More
Equity Bank’s Focus on Innovation Boosts First Half Year 2013 Profit

Regional banking group, Equity Bank's reduction of interest rates by 700 bps from 25% to 18% has...

View More
Equity Bank Group Strengthens Its Fundamentals While Expenses of Ict, Innovation and Product Rollout Slows Profit Growth To 7%

Equity Bank Group strengthens its fundamentals while expenses of ICT, Innovation and Product Rollout...

View More
Equity Bank's Strategy Increases Profits by 36 Percent

The Group’s total assets posted a 24% growth during the year to close at Ksh 243 billion up from...

View More
MasterCard and Equity Bank Announce Partnership to Introduce PayPass™ Enabled Cards

Partnership to increase financial inclusion and boost EMV migration efforts in the region.

View More
Equity Tanzania unveils a new identity in line with the Bank’s ongoing journey of transformation

The new identity is aimed at creating a sustainable growth path and service delivery in today’s...

View More
Equity ranks position 7 in the list of top 10 banks in Africa in The Banker’s Top 100 African Banks 2020.

Equity becomes the 1st bank in Eastern and Central Africa to achieve this milestone paving way for...

View More
EQUITY CROSSES THE KSH 1,000,000,000,000 BALANCE SHEET MARK

Becomes the first bank in Eastern and Central Africa to achieve the trillion-shilling balance sheet...

View More
Equity CEO, Dr. James Mwangi, wins coveted Oslo Business for Peace Award

The Award is conferred annually to exceptional individuals who exemplify their outstanding `business...

View More
EQUITY BANK (T) ANNOUNCES PARTNERSHIP WITH WORLD REMIT, MONEY GRAM AND WESTERN UNION TO EASE INTERNATIONAL MONEY TRANSFERS TO TANZANIA

The service presents the exciting prospect for the Tanzania community to receive seamless...

View More
EQUITY BANK (T) LTD YAZINDUA KAMPENI MPYA YA KUWEKA AKIBA (JIJENGE)

Equity Bank (T) leo imenzidua rasmi akaunti maalum ya utunzani fedha kwa kujiwekea kidogo kidogo ili...

Zaidi
EQUITY BANK (T) yaleta mfumo wa kidijitali wa “Eazzy-Kikundi” ili kuongeza tija na uwazi katika uendeshaji wa Vicoba nchini.

Equity Bank (T) imeahidi kuendelea kutoa elimu ya fedha na mikopo nafuu kwa vikundi vya uwekezaji na...

Zaidi
Equity Bank (T) introduces Interbank money transfers and SADC-(SIRESS) Services to boost cross boarders' and regional remittance services

Customers with Equity Bank accounts can now transact seamlessly in any of the Equity Bank branches...

View More
Equity Bank launches EazzyFX, An Electronic Channel for Settling Forex Transactions

Customers will have the freedom to execute forex requirements in real-time in a safe, convenient and...

View More
Equity receives double International Standards Certification on IT Service and Information Security Management Systems

Equity Bank Kenya Limited has received two International Standards Certifications - ISO 20000 and...

View More
Equity Bank Tanzania Limited Appoints Managing Director

Equity Bank Tanzania has announced the appointment of Ms. Isabel Maganga as the new Managing...

View More
Equity Group Launches Kshs. 678 billion (USD 6 Billion) Regional Private Sector Economic Recovery and Resilience Stimulus Plan

Equity’s Eastern and Central Africa Recovery and Resilience plan is envisaged to provide financing...

View More
Equity Group Returns to Growth

Equity Group has eased its defensive strategy that had been deployed during the economic uncertainty...

View More
THE AFRICAN CONTINENTAL FREE TRADE AREA (AfCFTA) SECRETARIAT AND EQUITY GROUP CEMENT A PARTNERSHIP TO DEEPEN ECONOMIC INTEGRATION OF THE AFRICAN CONTINENT

The partnership will champion the implementation of the Africa Recovery and Resilience Plan which...

View More
EQUITY BANK TANZANIA HOSTS AMERICAN DELEGATES FOR A TRADE AND INVESTMENT TRADE MISSION

Delegates from the United States of America (USA) have arrived in Dar es Salaam, Tanzania for a...

View More
EQUITY GROUP REPORTS STRONG 3RD QUARTER PERFORMANCE

Equity Group Holdings Plc today reported Kshs.34.4 billion shillings profit after tax for the nine...

View More
EQUITY GROUP REPORTS A RECORD KES 46.1B NET PROFIT AND A DIVIDEND PAYOUT OF KES 15.1B

EQUITY GROUP REPORTS A RECORD KES 46.1B NET PROFIT AND A DIVIDEND PAYOUT OF KES 15.1B

View More
Equity Group Holdings Registers Strong Recovery

Nairobi Monday 13th May 2024… After reporting a 5% decline in profit after tax for the year ended...

Read More
Equity Group Unveils 2023 Sustainability Report: “A Sustainable World is a Transformed Africa” Showcasing Bold Vision and Impact

Nairobi, Kenya, 3rd September 2024: Equity Group unveiled its third annual sustainability report for...

Read More
Equity Group Holdings Plc Reports 3rd Quarter 2024 Profit After Tax of Kshs 40.9 Billion

NAIROBI, 12th November 2024: Against a backdrop of continued macroeconomic headwinds of high...

Read More
Equity Group Reports Kshs 60.7 Billion Profits Before Tax, Driven by Strategic Diversified Growth

NAIROBI, 27th March 2025: Equity Group Holdings Plc continues to deliver solid financial results,...

Read More
Equity Group Reports Kshs 15.4 Billion Profits After Tax on Prudent Cost Management and Resumption of Growth

NAIROBI, 29th May 2025: Demonstrating strategic agility and resilience in a dynamic global economic...

Read More
Equity Group Announces Strong Q3 2025 Results, Recording a 32% Growth in Profit After Tax Reflecting Strategic Transformation

Equity Group Holdings Plc has announced its Q3 2025 results, showcasing a robust performance driven...

Read More
Equity Bank Tanzania Launches "Ushonaji Plus" An Asset Loan for Tailoring Equipment Aimed at Supporting Women Entrepreneurs in the Tailoring and Fashion Design Sector.

Asset Loan to Empower Women and Youth Entrepreneurs in Tailoring and Fashion Design Sector

Read More
Benki ya Equity tanzania yakabidhi vifaa vya kuhifadhi taka katika soko la samaki la mwaloni na kufanya usafi kwenye ufukwe wa ziwa victoria, jijini mwanza.

Mwanza, Tanzania –Tarehe 24 Januari 2026. Benki ya Equity Tanzania, kwa ushirikiano na wadau...

Read More
Service finder
Equity Bank is Regulated by Bank of Tanzania (BOT)