Hotline +255 768985500

Dar es Salaam, Jumapili 30 May 2021 - Equity Bank (T) imeahidi kuendelea kutoa elimu ya fedha na mikopo nafuu kwa vikundi vya uwekezaji na uchumi maarufu kama Vicoba ili kuviongozea tija katika uzalishaji na hivyo kuviongezea vipato.


Akizungumza katika hafla ya kusherehekea miaka mitano ya kikundi cha Kikoba cha Faith Vicoba Group iliyofanyika katika hoteli ya Mbezi Garden jijini DSM, Mkurugenzi Mwendeshaji wa Benki ya Equity Tanzania Esther Kitoka alisema kuwa Benki hiyo imeleta sokoni mfumo maalum wa kigitali ujulikanao kwa jina la “Eazzy Kikundi” ili kurahisisha undeshaji na uwajibikaji wa vikundi hivyo vya uwekezaji. “Mpaka sasa Benki ya Equity tuna vikundi zaidi ya 1500 huku Vikundi 750 kati yao tukiwa tumeviunganisha katika nfumo maalum wa kidigitali yaani Eazzy Vikundi. Hii ni platform yetu maalum inayowezesha vikundi kujiendesha kidijitali kwa kuwapa wana kikundi wote uwezo wa kuona muenendo wa akauti yao (in real time) kupitia simu zao za mikononi bila hitaji la kwenda benki kuomba statementi. Hili linaisaidia sana katika kuweka uwazi katika uendeshaji wa kikundi na hivyo kuongeza uwajibikaji na kupunguza migongano isiyo na lazima. Kila muamala utakaopita kwenye akaunti ya kikundi utaendana na meseji (notification) kwa wanavikundi wote. Hii pia itahusisha namna bora ya kuruhusu miamala kidijitali bila hitaji ya kukutana mara kwa mara. Mambo yote kiganjani” alisema.


Bi.Kitoka pia alisema  kuwa Benki ya Equity imedhamiria kwa vitendo kumkomboa mwanamke wa kitanzania kiuchumi na imeweka mpango dhabiti wa kufanikisha hilo na kuwa  Benki ya Equity imeshatoa mikopo ya kiasi cha shilingi milioni mia mbili (200mn) kwa zaidi ya vikundi 100 nchi nzima. Vingi vikiwa ni vya kina mama na wajasiliamari wanawake.


“Benki pia imeshatoa mikopo ya zaidi ya shilingi bilioni tatu (3bn) kwa wajasiliamari wadogo wadogo zaidi ya elfu mbili nchi nzima. Hili ni kundi limalohusisha wafanyabiashara wadogo wakubwa kuanzia  mama Lishe mpaka wamiliki wa viwanda vidogo vya uzalishaji vyakula vya mifugo. Tunaamini kuwa hili ni kundi muhimu sana kwa uchumi wa nchi yetu kwani ndio kundi linaloajiri watu wengi zaidi nchini. Tutaendelea kuwa nanyi Bega kwa bega ili kwa pamoja tufikie malengo tuliyojiwekea” alisema.


Akitoa nasaha zake kwa vikundi vya uwekezaji nchini, Bi.Kitoka aliwaasa wanavikundi hao kuongeza juhudi na kuzingatia  Mshikamano, ubunifu,  weledi na uwazi kwenye masuala ya Fedha na Uwekezaji.


“ Benki ya Equity inaahidi kuendelea kushirikiana nanyi katika shughuli zenu zote za kijamii kama hii ya leo. Tunalenga kukua nanyi kwa pamoja yaani – Growing together in Trust huku tukitoa mafunzo na Elimu ya Fedha na Uwekezaji kadri mtakavyohitaji – Tupo tayari kutoa madarasa ya bure ya jinsi ya kupanga mahesabu yenu vizuri – Bajeti, Akiba, Mikopo na maeneno mengi yote ya uwekezaji, iwe katika hisa au hata hati za serkali” alisema Bi.Kitoka.Kuhusu Equity Bank


Equity Bank Tanzania Limited ni taasisi ya kifedha inayofanya kazi nchini Tanzania chini Equity Group Holdings Plc iliyo na matawi katika nchi nyingine za Kenya, Uganda, Sudan ya Kusini, Rwanda, Congo (DRC).


Kwa sasa Equity ina matawi 15 na Mawakala zaidi 3,600 nchi nzima, ATM na huduma za kibenki kupitia Simu za mkononi na Intaneti.

Related stories

Equity Bank Tanzania limited imeingia ubia na Klabu ya Simba

Equity Bank Tanzania limited imeingia ubia na Klabu ya Simba katika kutoa kadi zenye chapa zao...

View More
Equity Bank Kicks Off Issuance of Simba Fan Cards

Equity Bank has today kicked off the issuance of Simba Fan Cards to over 20 million fans of the...

View More
Equity Bank Tanzania Donates 5 Mobile Police Posts to Ministry of Home Affairs in Tanzania

Equity Bank Tanzania has today handed over 5 mobile police posts to the Ministry of Home Affairs...

View More
Benki Ya Equity Tanzania Inazindua Suluhisho Jipya Ya Benki Kimtandao

Benki ya Equity imezindua huduma za benki kwa njia ya kimtandao, huduma hizi zilizopewa jina...

View More
Equity Bank and Tanzania Revenue Authority in Partnership for Payment of Taxes

The new tax settlement avenue will be available for all TRA clients including non- Equity Bank...

View More
Equity Bank Group Third Quarter Profits Soars 26% on the Back of Growing Regional Economic Activities

Equity Bank Group, on Thursday announced that its profit after tax for the third quarter of 2014...

View More
Regional Expansion and Diversification Strategy Pays Off as Equity Bank Posts a 21% Growth

Regional financial services provider Equity Bank Group has returned to its traditional growth path...

View More
Equity Bank Group’s Investment in Ict and Focus on Sme Boosts Profits by 11% in the 2013

Equity Bank Group’s investment in ICT and Focus on SME boosts profits by 11 percent in the year...

View More
Equity Bank and American Express Announce Card Issuing and Merchant Acquiring Partnership

Equity Bank and American Express today announced a partnership agreement, through which Equity Bank...

View More
Equity Group Secures Its Shareholders Nod for a Kshs 20 Billion Pan African Expansion Bid

The approvals, which were secured during the firm’s 11th Annual General Meeting (AGM) held today...

View More
Equity Bank’s Focus on Innovation Boosts First Half Year 2013 Profit

Regional banking group, Equity Bank's reduction of interest rates by 700 bps from 25% to 18% has...

View More
Equity Bank Group Strengthens Its Fundamentals While Expenses of Ict, Innovation and Product Rollout Slows Profit Growth To 7%

Equity Bank Group strengthens its fundamentals while expenses of ICT, Innovation and Product Rollout...

View More
Equity Bank's Strategy Increases Profits by 36 Percent

The Group’s total assets posted a 24% growth during the year to close at Ksh 243 billion up from...

View More
MasterCard and Equity Bank Announce Partnership to Introduce PayPass™ Enabled Cards

Partnership to increase financial inclusion and boost EMV migration efforts in the region.

View More
Equity Tanzania unveils a new identity in line with the Bank’s ongoing journey of transformation

The new identity is aimed at creating a sustainable growth path and service delivery in today’s...

View More
Equity ranks position 7 in the list of top 10 banks in Africa in The Banker’s Top 100 African Banks 2020.

Equity becomes the 1st bank in Eastern and Central Africa to achieve this milestone paving way for...

View More
EQUITY CROSSES THE KSH 1,000,000,000,000 BALANCE SHEET MARK

Becomes the first bank in Eastern and Central Africa to achieve the trillion-shilling balance sheet...

View More
Equity CEO, Dr. James Mwangi, wins coveted Oslo Business for Peace Award

The Award is conferred annually to exceptional individuals who exemplify their outstanding `business...

View More
EQUITY BANK (T) ANNOUNCES PARTNERSHIP WITH WORLD REMIT, MONEY GRAM AND WESTERN UNION TO EASE INTERNATIONAL MONEY TRANSFERS TO TANZANIA

The service presents the exciting prospect for the Tanzania community to receive seamless...

View More
EQUITY BANK (T) LTD YAZINDUA KAMPENI MPYA YA KUWEKA AKIBA (JIJENGE)

Equity Bank (T) leo imenzidua rasmi akaunti maalum ya utunzani fedha kwa kujiwekea kidogo kidogo ili...

Zaidi
Equity Bank (T) introduces Interbank money transfers and SADC-(SIRESS) Services to boost cross boarders' and regional remittance services

Customers with Equity Bank accounts can now transact seamlessly in any of the Equity Bank branches...

View More
Equity Bank launches EazzyFX, An Electronic Channel for Settling Forex Transactions

Customers will have the freedom to execute forex requirements in real-time in a safe, convenient and...

View More
Equity receives double International Standards Certification on IT Service and Information Security Management Systems

Equity Bank Kenya Limited has received two International Standards Certifications - ISO 20000 and...

View More
Service finder
Equity Bank is Regulated by Bank of Tanzania (BOT)