Hotline +255 768985500
Hotline +255 768985500
Benki ya Equity Tanzania imezindua rasmi tawi jipya la Ubungo, lililopo ndani ya EACLC Mall (East African Commercial Logistics Centre), Ghorofa la Kwanza, jijini Dar es Salaam. Uzinduzi huu ni sehemu ya mkakati wa benki hiyo wa kusogeza huduma za kibenki karibu na wateja na kuongeza urahisi wa kupata huduma kwa wakazi wa eneo la Ubungo na maeneo jirani.
Tawi hili jipya linatoa huduma kamili za kibenki, ikiwemo kufungua akaunti, kutoa mikopo, kuweka na kutoa fedha, huduma za fedha za kimataifa (money transfer), huduma za biashara, na usaidizi kwa wateja wa benki hiyo. Kwa kufunguliwa kwa tawi hili, Equity Tanzania inaimarisha mtandao wake wa matawi nchini, unaoendelea kukua kwa lengo la kuwafikia watanzania wengi zaidi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Equity Tanzania, Bi. Isabela Maganga, aliyezindua rasmi tawi hilo, alisema kuwa uzinduzi wa tawi la Ubungo ambalo ni tawi la kibiashara ni sehemu ya mkakati wa kitaifa wa benki hiyo kuhakikisha wananchi wanapata huduma za kifedha karibu na maeneo wanayoishi na kwenye maswala amziam ya kibiashara biashara.
Tunaendelea kuwekeza katika miundombinu ya matawi na teknolojia ili kuhakikisha huduma zetu zinawafikia Watanzania wengi zaidi, hasa wale walio kwenye maeneo yenye shughuli nyingi za kiuchumi. Ubungo ni kitovu muhimu cha biashara na usafiri, hivyo tawi hili litasaidia kuongeza kasi ya shughuli za kifedha kwa wafanyabiashara na wakazi wote wa eneo hili," alisema Bi. Maganga.Aliongeza kuwa Equity itaendelea kuwekeza katika sekta za kimkakati zikiwemo biashara, kilimo, elimu, na afya, kwa kutoa mikopo nafuu na huduma bunifu zinazowezesha ukuaji wa uchumi wa taifa. Tawi hili linajumuishwa katika jumla ya matawi 19 ya benki yaliyopo nchini, ambayo yanaendelea kutoa huduma kwa wateja katika mikoa mbalimbali.
Equity Bank Tanzania limited imeingia ubia na Klabu ya Simba katika kutoa kadi zenye chapa zao...
View MoreEquity Bank has today kicked off the issuance of Simba Fan Cards to over 20 million fans of the...
View MoreEquity Bank Tanzania has today handed over 5 mobile police posts to the Ministry of Home Affairs...
View MoreBenki ya Equity imezindua huduma za benki kwa njia ya kimtandao, huduma hizi zilizopewa jina...
View MoreThe new tax settlement avenue will be available for all TRA clients including non- Equity Bank...
View MoreEquity Bank Group, on Thursday announced that its profit after tax for the third quarter of 2014...
View MoreRegional financial services provider Equity Bank Group has returned to its traditional growth path...
View MoreEquity Bank Group’s investment in ICT and Focus on SME boosts profits by 11 percent in the year...
View MoreEquity Bank and American Express today announced a partnership agreement, through which Equity Bank...
View MoreThe approvals, which were secured during the firm’s 11th Annual General Meeting (AGM) held today...
View MoreRegional banking group, Equity Bank's reduction of interest rates by 700 bps from 25% to 18% has...
View MoreEquity Bank Group strengthens its fundamentals while expenses of ICT, Innovation and Product Rollout...
View MoreThe Group’s total assets posted a 24% growth during the year to close at Ksh 243 billion up from...
View MorePartnership to increase financial inclusion and boost EMV migration efforts in the region.
View MoreThe new identity is aimed at creating a sustainable growth path and service delivery in today’s...
View MoreEquity becomes the 1st bank in Eastern and Central Africa to achieve this milestone paving way for...
View MoreBecomes the first bank in Eastern and Central Africa to achieve the trillion-shilling balance sheet...
View MoreThe Award is conferred annually to exceptional individuals who exemplify their outstanding `business...
View MoreThe service presents the exciting prospect for the Tanzania community to receive seamless...
View MoreEquity Bank (T) leo imenzidua rasmi akaunti maalum ya utunzani fedha kwa kujiwekea kidogo kidogo ili...
ZaidiEquity Bank (T) imeahidi kuendelea kutoa elimu ya fedha na mikopo nafuu kwa vikundi vya uwekezaji na...
ZaidiCustomers with Equity Bank accounts can now transact seamlessly in any of the Equity Bank branches...
View MoreCustomers will have the freedom to execute forex requirements in real-time in a safe, convenient and...
View MoreEquity Bank Kenya Limited has received two International Standards Certifications - ISO 20000 and...
View MoreEquity Bank Tanzania has announced the appointment of Ms. Isabel Maganga as the new Managing...
View MoreEquity’s Eastern and Central Africa Recovery and Resilience plan is envisaged to provide financing...
View MoreEquity Group has eased its defensive strategy that had been deployed during the economic uncertainty...
View MoreThe partnership will champion the implementation of the Africa Recovery and Resilience Plan which...
View MoreDelegates from the United States of America (USA) have arrived in Dar es Salaam, Tanzania for a...
View MoreEquity Group Holdings Plc today reported Kshs.34.4 billion shillings profit after tax for the nine...
View MoreEQUITY GROUP REPORTS A RECORD KES 46.1B NET PROFIT AND A DIVIDEND PAYOUT OF KES 15.1B
View MoreNairobi Monday 13th May 2024… After reporting a 5% decline in profit after tax for the year ended...
Read MoreNairobi, Kenya, 3rd September 2024: Equity Group unveiled its third annual sustainability report for...
Read MoreNAIROBI, 12th November 2024: Against a backdrop of continued macroeconomic headwinds of high...
Read MoreNAIROBI, 27th March 2025: Equity Group Holdings Plc continues to deliver solid financial results,...
Read MoreNAIROBI, 29th May 2025: Demonstrating strategic agility and resilience in a dynamic global economic...
Read MoreEquity Group Holdings Plc has announced its Q3 2025 results, showcasing a robust performance driven...
Read MoreAsset Loan to Empower Women and Youth Entrepreneurs in Tailoring and Fashion Design Sector
Read MoreMwanza, Tanzania –Tarehe 24 Januari 2026. Benki ya Equity Tanzania, kwa ushirikiano na wadau...
Read MoreBenki ya Equity yazindua “wezesha account” akaunti ya amana ya muda maalum, inayolenga...
Learn MoreTanzania, Benki ya Equity imetangaza ushirikiano wa kimkakati na Mixx by Yas wenye lengo la kuleta...
Read MoreKatika kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, Equity Bank Tanzania iliwaunganisha wanawake wateja na...
Read More