Hotline +255 768985500

Dar es Salaam, Alhamisi Tarehe 22 Aprili 2021 - Equity Bank (T) leo imenzidua rasmi akaunti maalum ya utunzani fedha kwa kujiwekea kidogo kidogo ili kufikia malengo ijulikanayo kama “Jijenge Akaunti”.


Akaunti ya Jijenge ni mpango wa kujiwekea akiba (savings plan) wenye lengo kuboresha maisha ya watanzania kwa kuwapa fursa yakujiwekea akiba kadri wanavyopata ili kufanikisha mipango yao ya maisha ikiwemo kujenga nyumba, kununua viwanja, kulipa karo na mengineyo.


Akizungumza katika hafla ya uzunduzi wa akaunti hiyo jijini Dar es Salaam jana, Mkuu wa Kitengo cha Biashara wa Benki ya Equity (T) Isabella Maganga amesema kuwa Jijenge akaunti ni suluhisho rasmi la kujiwekea akiba na kufikia malengo.


“Kupitia akaunti hii ya Jijenge mteja anapata nafasi ya kufikia mipango yako ya muda mrefu au mfupi kwa kujiwekea akiba taratibu na hatimaye kufikia malengo. Jijenge akaunti ni daraja la kufikia ndoto za Maisha kupitia kujiwekea akiba. Kubwa Zaidi ni kuwa ukiweka akiba kwa kipindi cha miezi sita na kuendelea, unaweza kukopa mpaka mara tatu ya fedha ulizojiwekea” alisema.


Akizungumza kuhusu taratibu za ufunguaji na uendeshaji wa akaunti hiyo ya Jijenge; Bi.Masanja alisema “Ili kufungua akaunti ya Jijenge, mteja anahitaji kuwa na kitambulisho cha NIDA pekee, na kianzio ni shilingi elfu kumi tu. Kama ilivyo kwa akunti zetu nyingine, Jijenge akunti pia haina makato yoyote ya mwezi na inajipatia riba nzuri na endelevu.


Pia tumeweka urahisi wa kujiwekea akiba kwa kuwapa wateja wetu uwezo kutuma pesa kwenye akaunti zao za “Jijenge” kwa kutumia huduma yetu ya Simu za mikononi “Eazzy Banking” huduma kupitia mtandao wa intanenti yaani “Eazzynet” au kwa kutumia utaratibu maalum kuhamisha fedha yaani Standing Order”alisema.


Maelezo zaidi kuhusu Jijenge Akaunti  • Uwezo wa kupata mkopo mara Tatu ya kiwango cha akiba ulichojiwekea ndani ya miezi sita na kuendelea.

  • Kiwango cha chini cha kufungua cha shilingi elfu kumi

  • Haina makato ya kila mwezi

  • Kitambulisho cha NIDA kinatosha kufungua akaunti

  • Riba endelevu

  • Njia rahisi za kuweka pesa

  • Ruhusa kufungua kwa Vikundi

  • Bima kwa mikopo yoteKuhusu Equity Bank
Equity Bank Tanzania Limited ni taasisi ya kifedha inayofanya kazi nchini Tanzania chini ya kampuni mama Equity Group Holdings Plc iliyo na matawi katika nchi nyingine za Kenya, Uganda, Sudan ya Kusini, Rwanda, Congo (DRC).


Kwa sasa Equity ina matawi 14 na Mawakala zaidi 3,600 nchi nzima, ATM na huduma za kibenki kupitia Simu za mkononi na Intaneti.

Related stories

Equity Bank Tanzania limited imeingia ubia na Klabu ya Simba

Equity Bank Tanzania limited imeingia ubia na Klabu ya Simba katika kutoa kadi zenye chapa zao...

View More
Equity Bank Kicks Off Issuance of Simba Fan Cards

Equity Bank has today kicked off the issuance of Simba Fan Cards to over 20 million fans of the...

View More
Equity Bank Tanzania Donates 5 Mobile Police Posts to Ministry of Home Affairs in Tanzania

Equity Bank Tanzania has today handed over 5 mobile police posts to the Ministry of Home Affairs...

View More
Benki Ya Equity Tanzania Inazindua Suluhisho Jipya Ya Benki Kimtandao

Benki ya Equity imezindua huduma za benki kwa njia ya kimtandao, huduma hizi zilizopewa jina...

View More
Equity Bank and Tanzania Revenue Authority in Partnership for Payment of Taxes

The new tax settlement avenue will be available for all TRA clients including non- Equity Bank...

View More
Equity Bank Group Third Quarter Profits Soars 26% on the Back of Growing Regional Economic Activities

Equity Bank Group, on Thursday announced that its profit after tax for the third quarter of 2014...

View More
Regional Expansion and Diversification Strategy Pays Off as Equity Bank Posts a 21% Growth

Regional financial services provider Equity Bank Group has returned to its traditional growth path...

View More
Equity Bank Group’s Investment in Ict and Focus on Sme Boosts Profits by 11% in the 2013

Equity Bank Group’s investment in ICT and Focus on SME boosts profits by 11 percent in the year...

View More
Equity Bank and American Express Announce Card Issuing and Merchant Acquiring Partnership

Equity Bank and American Express today announced a partnership agreement, through which Equity Bank...

View More
Equity Group Secures Its Shareholders Nod for a Kshs 20 Billion Pan African Expansion Bid

The approvals, which were secured during the firm’s 11th Annual General Meeting (AGM) held today...

View More
Equity Bank’s Focus on Innovation Boosts First Half Year 2013 Profit

Regional banking group, Equity Bank's reduction of interest rates by 700 bps from 25% to 18% has...

View More
Equity Bank Group Strengthens Its Fundamentals While Expenses of Ict, Innovation and Product Rollout Slows Profit Growth To 7%

Equity Bank Group strengthens its fundamentals while expenses of ICT, Innovation and Product Rollout...

View More
Equity Bank's Strategy Increases Profits by 36 Percent

The Group’s total assets posted a 24% growth during the year to close at Ksh 243 billion up from...

View More
MasterCard and Equity Bank Announce Partnership to Introduce PayPass™ Enabled Cards

Partnership to increase financial inclusion and boost EMV migration efforts in the region.

View More
Equity Tanzania unveils a new identity in line with the Bank’s ongoing journey of transformation

The new identity is aimed at creating a sustainable growth path and service delivery in today’s...

View More
Equity ranks position 7 in the list of top 10 banks in Africa in The Banker’s Top 100 African Banks 2020.

Equity becomes the 1st bank in Eastern and Central Africa to achieve this milestone paving way for...

View More
EQUITY CROSSES THE KSH 1,000,000,000,000 BALANCE SHEET MARK

Becomes the first bank in Eastern and Central Africa to achieve the trillion-shilling balance sheet...

View More
Equity CEO, Dr. James Mwangi, wins coveted Oslo Business for Peace Award

The Award is conferred annually to exceptional individuals who exemplify their outstanding `business...

View More
EQUITY BANK (T) ANNOUNCES PARTNERSHIP WITH WORLD REMIT, MONEY GRAM AND WESTERN UNION TO EASE INTERNATIONAL MONEY TRANSFERS TO TANZANIA

The service presents the exciting prospect for the Tanzania community to receive seamless...

View More
EQUITY BANK (T) yaleta mfumo wa kidijitali wa “Eazzy-Kikundi” ili kuongeza tija na uwazi katika uendeshaji wa Vicoba nchini.

Equity Bank (T) imeahidi kuendelea kutoa elimu ya fedha na mikopo nafuu kwa vikundi vya uwekezaji na...

Zaidi
Equity Bank (T) introduces Interbank money transfers and SADC-(SIRESS) Services to boost cross boarders' and regional remittance services

Customers with Equity Bank accounts can now transact seamlessly in any of the Equity Bank branches...

View More
Equity Bank launches EazzyFX, An Electronic Channel for Settling Forex Transactions

Customers will have the freedom to execute forex requirements in real-time in a safe, convenient and...

View More
Equity receives double International Standards Certification on IT Service and Information Security Management Systems

Equity Bank Kenya Limited has received two International Standards Certifications - ISO 20000 and...

View More
Service finder
Equity Bank is Regulated by Bank of Tanzania (BOT)