Hotline +255 768985500
Hotline +255 768985500
Equity Bank Tanzania limited imeingia ubia na Klabu ya Simba katika kutoa kadi zenye chapa zao kwapamoja ambazo zinafaida kwa mashirika yote mawili lakini walengwa wakuu ni watakao kuwa wamiliki wa kadi hizo ambao ni wateja/mashabiki na wadau wa mashirika haya mawili kwa umoja wao.
Klabu ya Simba inashauku kubwa kuwapa shabiki/ wadau wake kadi zitakazo warahisishia huduma za malipo mbalimbali, kuweka akiba, kutoa na kuweka hela Benki. Equity Bank dira na dhimaa yake itakuwa Dhahiri kubadilisha maisha ya watanzania kijamii na kiuchumi pia kuongeza idadi ya wanaopata huduma za kibenki nchini.
Akaunti inayompatia shabiki wa Simba kadi ya shabiki (Simba Debit card) pia ina faida zifuatazo;
• haina kiwango cha chini cha kulinda akaunti
• haina makato ya mwisho wa mwezi
• haina makato ya kuweka hela hali kadhalika
• haina makato ya kuweka hundi na pia kupata huduma za kifedha kupitia simu za mkononi.
• Kadi ya shabiki wa Simba pia ina faida ya kipekee kuwa imeunganishwa na mfumo wa VISA utakaomuwezesha mmiliki wa kadi hii kupata huduma za kifedha popote penye nembo ya VISA ndani na nje ya nchi. Kama benki, tunajivunia ubia wetu na klabu ya Simba.
Kupata kadi hii mtu anastaili kufata utaratibu mzima wa kufungua akaunti ya Benki kwa kutumia kitambulisho cha taifa (NIDA) au namba ya NIDA ama Kitambulisho cha kupiga kura.
Mteja ataitajika kuchangia pesa taslimu zakitanzania Tzs 22,000 kama kianzio cha kupata kadi ya Simba, ambapo Tzs 10,000/= ni malipo ya kadi na Tzs 12,000 ni ada ya shabiki wa simba kwa mwaka mzima.
Kadi zinazotolewa sasa ni kadi za mashabiki, na siku za usoni kadi za wanachama/wadau zitafuata. Utoaji wa kadi unafanyika kwenye matawi yote ya Equity Bank Tanzania, na sehemu ambapo hakuna tawi la Equity Bank Tanzania mpango mkakati unafanyika na ratiba ya kuzungukia sehemu hizo utatangazwa rasmi.
Tunapenda kukukaribisha kwenye toleo letu jipya la Simba Debit card. Kadi hii inakuja na faida za nyongeza kwa mashabiki na wanachama wa Klabu ya Simba.
Ukiwa na kadi ya Simba Debit Card utafurahia huduma zifuatazo;
• Kitambulisho cha mwanachama
• Kuweza kufanya miamala ya kutoa na kuweka fedha, manunuzi na malipo ya mtandaoni
• Kupata punguzo utakapo fanya manunuzi katika maduka pendwa
• Manunuzi ya Ticket za Mechi
• Manunuzi ya bidhaa za Simba
• Makato ya papo kwa hapo ya malipo ya mwanachama
• Kuingia katika uwanja wa mpira wakati wa Mechi
• Kubenki kielektroniki
Equity Bank Tanzania limited ilianza shughuli zake mwaka 2012 baada ya kuchagua na kuwaelimisha vijana wa kitanzania wapatao 80 nje ya nchi kwa takribani mwaka mmoja. Mpaka sasa, tunayo matawi 15 na mawakala wanaozidi 2,800, huduma ya simu (Eazzy Banking) ambayo inamuwezesha mteja kuendelea na miamala yake popote alipo kwa kutumia simu yake ya mkononi.
Dira yetu ni kuwa mstari wa mbele katika kuboresha maisha ya kila mwafrika kiuchumi na kijamii. Ni kwa kuzingatia dira hii ambapo tumekuwa tukibuni huduma zinazoendana na soko letu, hali ya maisha ya watu wetu lakini pia kasi ya teknologia duniani na hata wakati mwingine kufikia kuleta huduma ambazo wengi waliomo katika biashara ya utoaji wa huduma za kifedha kuziona kuwa hatarishi.
Equity Bank Tanzania inakaribisha maoni na ushauri ili kuzidi kuboresha huduma zetu kwako. Tutaendelea kujitolea katika kuhakikisha unapata huduma bora.
Asante kwa kuichagua Equity Bank.
*vigezo na masharti kuzingatiwa
Equity Bank has today kicked off the issuance of Simba Fan Cards to over 20 million fans of the...
View MoreEquity Bank Tanzania has today handed over 5 mobile police posts to the Ministry of Home Affairs...
View MoreBenki ya Equity imezindua huduma za benki kwa njia ya kimtandao, huduma hizi zilizopewa jina...
View MoreThe new tax settlement avenue will be available for all TRA clients including non- Equity Bank...
View MoreEquity Bank Group, on Thursday announced that its profit after tax for the third quarter of 2014...
View MoreRegional financial services provider Equity Bank Group has returned to its traditional growth path...
View MoreEquity Bank Group’s investment in ICT and Focus on SME boosts profits by 11 percent in the year...
View MoreEquity Bank and American Express today announced a partnership agreement, through which Equity Bank...
View MoreThe approvals, which were secured during the firm’s 11th Annual General Meeting (AGM) held today...
View MoreRegional banking group, Equity Bank's reduction of interest rates by 700 bps from 25% to 18% has...
View MoreEquity Bank Group strengthens its fundamentals while expenses of ICT, Innovation and Product Rollout...
View MoreThe Group’s total assets posted a 24% growth during the year to close at Ksh 243 billion up from...
View MorePartnership to increase financial inclusion and boost EMV migration efforts in the region.
View MoreThe new identity is aimed at creating a sustainable growth path and service delivery in today’s...
View MoreEquity becomes the 1st bank in Eastern and Central Africa to achieve this milestone paving way for...
View MoreBecomes the first bank in Eastern and Central Africa to achieve the trillion-shilling balance sheet...
View MoreThe Award is conferred annually to exceptional individuals who exemplify their outstanding `business...
View MoreThe service presents the exciting prospect for the Tanzania community to receive seamless...
View MoreEquity Bank (T) leo imenzidua rasmi akaunti maalum ya utunzani fedha kwa kujiwekea kidogo kidogo ili...
ZaidiEquity Bank (T) imeahidi kuendelea kutoa elimu ya fedha na mikopo nafuu kwa vikundi vya uwekezaji na...
ZaidiCustomers with Equity Bank accounts can now transact seamlessly in any of the Equity Bank branches...
View MoreCustomers will have the freedom to execute forex requirements in real-time in a safe, convenient and...
View MoreEquity Bank Kenya Limited has received two International Standards Certifications - ISO 20000 and...
View MoreEquity Bank Tanzania has announced the appointment of Ms. Isabel Maganga as the new Managing...
View MoreEquity’s Eastern and Central Africa Recovery and Resilience plan is envisaged to provide financing...
View MoreEquity Group has eased its defensive strategy that had been deployed during the economic uncertainty...
View MoreThe partnership will champion the implementation of the Africa Recovery and Resilience Plan which...
View MoreDelegates from the United States of America (USA) have arrived in Dar es Salaam, Tanzania for a...
View MoreEquity Group Holdings Plc today reported Kshs.34.4 billion shillings profit after tax for the nine...
View MoreEQUITY GROUP REPORTS A RECORD KES 46.1B NET PROFIT AND A DIVIDEND PAYOUT OF KES 15.1B
View MoreNairobi Monday 13th May 2024… After reporting a 5% decline in profit after tax for the year ended...
Read MoreNairobi, Kenya, 3rd September 2024: Equity Group unveiled its third annual sustainability report for...
Read MoreNAIROBI, 12th November 2024: Against a backdrop of continued macroeconomic headwinds of high...
Read More