Equity Bank Tanzania limited imeingia ubia na Klabu ya Simba
- Details
- Category: Press Release
- Published: Friday, 06 November 2020 12:03
- Written by Super User
- Hits: 128
Equity Bank Tanzania limited imeingia ubia na Klabu ya Simba katika kutoa kadi zenye chapa zao kwapamoja ambazo zinafaida kwa mashirika yote mawili lakini walengwa wakuu ni watakao kuwa wamiliki wa kadi hizo ambao ni wateja/mashabiki na wadau wa mashirika haya mawili kwa umoja wao.
Read more: Equity Bank Tanzania limited imeingia ubia na Klabu ya Simba