Hotline +255 768985500
Hotline +255 768985500
Dar es Salaam, Jumapili 30 May 2021 - Equity Bank (T) imeahidi kuendelea kutoa elimu ya fedha na mikopo nafuu kwa vikundi vya uwekezaji na uchumi maarufu kama Vicoba ili kuviongozea tija katika uzalishaji na hivyo kuviongezea vipato.
Akizungumza katika hafla ya kusherehekea miaka mitano ya kikundi cha Kikoba cha Faith Vicoba Group iliyofanyika katika hoteli ya Mbezi Garden jijini DSM, Mkurugenzi Mwendeshaji wa Benki ya Equity Tanzania Esther Kitoka alisema kuwa Benki hiyo imeleta sokoni mfumo maalum wa kigitali ujulikanao kwa jina la “Eazzy Kikundi” ili kurahisisha undeshaji na uwajibikaji wa vikundi hivyo vya uwekezaji. “Mpaka sasa Benki ya Equity tuna vikundi zaidi ya 1500 huku Vikundi 750 kati yao tukiwa tumeviunganisha katika nfumo maalum wa kidigitali yaani Eazzy Vikundi. Hii ni platform yetu maalum inayowezesha vikundi kujiendesha kidijitali kwa kuwapa wana kikundi wote uwezo wa kuona muenendo wa akauti yao (in real time) kupitia simu zao za mikononi bila hitaji la kwenda benki kuomba statementi. Hili linaisaidia sana katika kuweka uwazi katika uendeshaji wa kikundi na hivyo kuongeza uwajibikaji na kupunguza migongano isiyo na lazima. Kila muamala utakaopita kwenye akaunti ya kikundi utaendana na meseji (notification) kwa wanavikundi wote. Hii pia itahusisha namna bora ya kuruhusu miamala kidijitali bila hitaji ya kukutana mara kwa mara. Mambo yote kiganjani” alisema.
Bi.Kitoka pia alisema kuwa Benki ya Equity imedhamiria kwa vitendo kumkomboa mwanamke wa kitanzania kiuchumi na imeweka mpango dhabiti wa kufanikisha hilo na kuwa Benki ya Equity imeshatoa mikopo ya kiasi cha shilingi milioni mia mbili (200mn) kwa zaidi ya vikundi 100 nchi nzima. Vingi vikiwa ni vya kina mama na wajasiliamari wanawake.
“Benki pia imeshatoa mikopo ya zaidi ya shilingi bilioni tatu (3bn) kwa wajasiliamari wadogo wadogo zaidi ya elfu mbili nchi nzima. Hili ni kundi limalohusisha wafanyabiashara wadogo wakubwa kuanzia mama Lishe mpaka wamiliki wa viwanda vidogo vya uzalishaji vyakula vya mifugo. Tunaamini kuwa hili ni kundi muhimu sana kwa uchumi wa nchi yetu kwani ndio kundi linaloajiri watu wengi zaidi nchini. Tutaendelea kuwa nanyi Bega kwa bega ili kwa pamoja tufikie malengo tuliyojiwekea” alisema.
Akitoa nasaha zake kwa vikundi vya uwekezaji nchini, Bi.Kitoka aliwaasa wanavikundi hao kuongeza juhudi na kuzingatia Mshikamano, ubunifu, weledi na uwazi kwenye masuala ya Fedha na Uwekezaji.
“ Benki ya Equity inaahidi kuendelea kushirikiana nanyi katika shughuli zenu zote za kijamii kama hii ya leo. Tunalenga kukua nanyi kwa pamoja yaani – Growing together in Trust huku tukitoa mafunzo na Elimu ya Fedha na Uwekezaji kadri mtakavyohitaji – Tupo tayari kutoa madarasa ya bure ya jinsi ya kupanga mahesabu yenu vizuri – Bajeti, Akiba, Mikopo na maeneno mengi yote ya uwekezaji, iwe katika hisa au hata hati za serkali” alisema Bi.Kitoka.
Kuhusu Equity Bank
Equity Bank Tanzania Limited ni taasisi ya kifedha inayofanya kazi nchini Tanzania chini Equity Group Holdings Plc iliyo na matawi katika nchi nyingine za Kenya, Uganda, Sudan ya Kusini, Rwanda, Congo (DRC).
Kwa sasa Equity ina matawi 15 na Mawakala zaidi 3,600 nchi nzima, ATM na huduma za kibenki kupitia Simu za mkononi na Intaneti.
Equity Bank Tanzania limited imeingia ubia na Klabu ya Simba katika kutoa kadi zenye chapa zao...
View MoreEquity Bank has today kicked off the issuance of Simba Fan Cards to over 20 million fans of the...
View MoreEquity Bank Tanzania has today handed over 5 mobile police posts to the Ministry of Home Affairs...
View MoreBenki ya Equity imezindua huduma za benki kwa njia ya kimtandao, huduma hizi zilizopewa jina...
View MoreThe new tax settlement avenue will be available for all TRA clients including non- Equity Bank...
View MoreEquity Bank Group, on Thursday announced that its profit after tax for the third quarter of 2014...
View MoreRegional financial services provider Equity Bank Group has returned to its traditional growth path...
View MoreEquity Bank Group’s investment in ICT and Focus on SME boosts profits by 11 percent in the year...
View MoreEquity Bank and American Express today announced a partnership agreement, through which Equity Bank...
View MoreThe approvals, which were secured during the firm’s 11th Annual General Meeting (AGM) held today...
View MoreRegional banking group, Equity Bank's reduction of interest rates by 700 bps from 25% to 18% has...
View MoreEquity Bank Group strengthens its fundamentals while expenses of ICT, Innovation and Product Rollout...
View MoreThe Group’s total assets posted a 24% growth during the year to close at Ksh 243 billion up from...
View MorePartnership to increase financial inclusion and boost EMV migration efforts in the region.
View MoreThe new identity is aimed at creating a sustainable growth path and service delivery in today’s...
View MoreEquity becomes the 1st bank in Eastern and Central Africa to achieve this milestone paving way for...
View MoreBecomes the first bank in Eastern and Central Africa to achieve the trillion-shilling balance sheet...
View MoreThe Award is conferred annually to exceptional individuals who exemplify their outstanding `business...
View MoreThe service presents the exciting prospect for the Tanzania community to receive seamless...
View MoreEquity Bank (T) leo imenzidua rasmi akaunti maalum ya utunzani fedha kwa kujiwekea kidogo kidogo ili...
ZaidiCustomers with Equity Bank accounts can now transact seamlessly in any of the Equity Bank branches...
View MoreCustomers will have the freedom to execute forex requirements in real-time in a safe, convenient and...
View MoreEquity Bank Kenya Limited has received two International Standards Certifications - ISO 20000 and...
View MoreEquity Bank Tanzania has announced the appointment of Ms. Isabel Maganga as the new Managing...
View MoreEquity’s Eastern and Central Africa Recovery and Resilience plan is envisaged to provide financing...
View MoreEquity Group has eased its defensive strategy that had been deployed during the economic uncertainty...
View MoreThe partnership will champion the implementation of the Africa Recovery and Resilience Plan which...
View MoreDelegates from the United States of America (USA) have arrived in Dar es Salaam, Tanzania for a...
View MoreEquity Group Holdings Plc today reported Kshs.34.4 billion shillings profit after tax for the nine...
View MoreEQUITY GROUP REPORTS A RECORD KES 46.1B NET PROFIT AND A DIVIDEND PAYOUT OF KES 15.1B
View MoreNairobi Monday 13th May 2024… After reporting a 5% decline in profit after tax for the year ended...
Read MoreNairobi, Kenya, 3rd September 2024: Equity Group unveiled its third annual sustainability report for...
Read MoreNAIROBI, 12th November 2024: Against a backdrop of continued macroeconomic headwinds of high...
Read More